Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG_3675.JPG
 
Ilikuwa ni shule moja huko Ukerewe. Mi niliuliza why Ukerewe? Sehemu yenye wasomi maprofesa na PhD holders wengi pengine kuliko sehemu nyingine hapa Tanzania. Mzee wa Liva na Yego nadhani walikausha [emoji23][emoji23][emoji23]
Sijakausha ni shule ipo wilaya ya Ukerewe kisiwa cha ukara mbona nilijibu Mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Tena kama na ka lens mbinuko kapo basi mambo safii kabisa. Ali mradi tu isiwe mifupa mitupu jamani [emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mbona wanisema tena?
 
Back
Top Bottom