Good morning nsamakaHuyu sio wa dar hahahha ni wa tukuyu
PamojaNimepita kuwasalimia,tutaonana badae mida ya chai nafikiri. Ntakuja kuwachungulia.
Namba za kichina labdanaona maisha yanaendlea mdgmdg japo tupo tunaoisoma namb
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]naskia Ukerewe mamba ni medium of transpot
hahahahahahKatibu ni Bob, nae ni nahisi ni mdogo wake andjul maana wanashabihiana sana tabia hizo hahahaha.
Bob kuanzia leo ww ni shemeji yangu wa damu.
Sijakausha ni shule ipo wilaya ya Ukerewe kisiwa cha ukara mbona nilijibu Mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ilikuwa ni shule moja huko Ukerewe. Mi niliuliza why Ukerewe? Sehemu yenye wasomi maprofesa na PhD holders wengi pengine kuliko sehemu nyingine hapa Tanzania. Mzee wa Liva na Yego nadhani walikausha [emoji23][emoji23][emoji23]
Good morning my dearShkamoo mama yangu Tanzania
Yaani ni shida Sana sijui ndio mitaala au niniHiyo hata wanafunzi wa chuo wengine hawajui
Hahahahaha ukara ni UkereweUkerewe bhana[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]asante eehUmeme wenu uko poa sana
hongereni
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mbona wanisema tena?Tena kama na ka lens mbinuko kapo basi mambo safii kabisa. Ali mradi tu isiwe mifupa mitupu jamani [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️