Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Inatisha sana Mkuu. Na mvua kubwa inanyesha kwa siku ya tano sasa. Ni jiji zuri sana lakini haya mafuriko ya mara kwa mara bila shaka baadhi wataanza kufikiria kulikimbia jiji la Houston.

Houston aisee kimenuka balaa. Imagine hii ilikuwa friiwei. Mungu Awasaidie kwa kweli [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…