Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ripoti hiyo iliyotolewa na Kampuni ya usalama wa kimtandao ya Avast miongoni mwa programu zilizoongoza kwa ulaji wa Betri ni zile za Google wenyewe, kama Google Maps, Google Play Music, Google Plus na Google Hangouts.
 
Mamba wa Ukerewe ni wengi ni mazingira acha kabisa
Miaka kama 10 iliyopita nilienda kijiji furani mkoani morogoro ambacho kipo kando kando ya mto ruvu, wenyeji walinionyesha baba ambaye alisemekana kwenye koti lake ana mijusi ambayo akiitupa mtoni hugeuka mamba wakubwa na kuanza kushambulia watu ambao amewalenga[emoji2] ni tatizo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aidha pia kuna programu/apps zingine zinazokula Betri kwa kasi ni zile za Samsung kama AllShare, ChatON na Push Service.

Vile vile watafiti hao wamegundua kwamba Google Docs na Text-to-Speech ni miongoni mwa programu zinazoongoza kula Chaji sambamba na Samsung WatchON, Video Editor na Media Hub.

Programu zingine zilizoorodheshwa kula Chaji ni SHAREit, Flipboard, Line na Adobe Acrobat Reader.
 
Wakati Avast wakitoa ripoti ya Programu zinazokula Chaji pia na zile zinazokula nafasi kubwa katika
simu yako hazikuachwa nyuma.

Programu zilizoorodheshwa kwa kuongoza katika ulaji wa nafasi ni pamoja na WhatsApp, WeChat na Snapchat ambapo zimetajwa kuwa sambamba na zile za Netflix na Spotify.
Instagram, Facebook Messenger na Snapchat zimetajwa kula nafasi kubwa sawa na Amazon kindle na BBC News App.
Avast iligundua pia vivinjari (Browser) vya Chrome, Firefox na app ya barua pepe ya Microsoft Outlook pia zinakula Data kwa kiwango kikubwa.
 
Ushauri ambao umetolewa na Avast kwa watumiaji wa Simu za Android kwa wale ambao wanataka kuimarisha utendaji wa simu zao wasisite kuondoa (Kufuta) programu ambazo zinakula chaji ya Betri, nafasi hata kama wanazipenda.

Kampuni ya Avast imependekeza kuzuia Arifa (notifications), kuzuia Programu zinazofanya kazi zenyewe bila ya kufunguliwa.
 
Tafiti zinaonyesha kuwa kuna uwezekano wa zile msg ulizozifuta kwenye WhatsApp kuweza kusomwa tena.


Kutokana na utafiti ulifanywa na Jonathan Zdziarsk umeonyesha kuwa pale unafuta msg za kwenye WhatsApp ukitegemea kutoziona tena, sio hivyo kama ulivyotegemea kwani msg hizo ni kwamba huondoka kwenye mbele ya macho yako lakini msg hizo zinabaki kwenye memori ya simu na zimawezekana kupatikana na kusomwa tena kwa kutumia app fulani.
 
Kwa wale wanatumia vifaa kutoka Apple wanatumia Forensic trace inafuatilia msg zote zilizofutwa au zilizokusanywa pamoja na kuwekwa mahali fulani. Msg hizo kwa kutumia Forensic trace zinaweza kurudishwa na kuweza kuonekana kama awali hata kama ulizifuta miaka mingi iliyopita.

Hakuna app itakayoweza kufuta kabisa msg zako ila cha msingi ni kujua kwamba pale unapoamua kufuta msg zako kwenye WhatsApp hazifutiki kabisa ila kuna mahali zinakuwepo na mtu ambaye atakuwa na access ya kutumia simu yako basi anaweza akarudisha msg hizo na kuweza kusomeka kama hapo awali.
 
Kwa wale wanatumia vifaa kutoka Apple wanatumia Forensic trace inafuatilia msg zote zilizofutwa au zilizokusanywa pamoja na kuwekwa mahali fulani. Msg hizo kwa kutumia Forensic trace zinaweza kurudishwa na kuweza kuonekana kama awali hata kama ulizifuta miaka mingi iliyopita.

Hakuna app itakayoweza kufuta kabisa msg zako ila cha msingi ni kujua kwamba pale unapoamua kufuta msg zako kwenye WhatsApp hazifutiki kabisa ila kuna mahali zinakuwepo na mtu ambaye atakuwa na access ya kutumia simu yako basi anaweza akarudisha msg hizo na kuweza kusomeka kama hapo awali.
 
Kitu cha kuzingatia

Yeyote yule mwenye uwezo wa kupata acess kwenye simu yako iwapo kama ataijua password yako, pattern kwenye simu yako ataweza kutengeneza ‘backup’ na kuweza kuviona kwa hapo baadae. Ni muhimu kuficha password yako na kuwa nayo wewe tu.
Iwapo mtu ataweza kuingia kwenye kompyuta yako anaweza akacopy kutoka kwenye simu yako, kufungua mafaili yaliyofungwa na kisha kuyatuma kwenye barua pepe yake na kuweza kufuatilia mazungumzo yako na yeyote yule uliyewasiliana nae kuptia WhatsApp.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…