Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ni chakula bora chenye virutubisho vingi na vyenye kulingana (balanced diet).
Hufanya mfumo wa ubongo kufanya kazi vizuri.
Huleta usawa katika homoni (hormones).
Hulainisha misuli.
Huupa mwili nguvu zaidi.
Kwa wale wanywaji, mayai mabichi ni kiungo kizuri kuondoa hangover.
Inapunguza, kama sio kuondoa ngozi iliyoungua
 
Haishauriwi kutunza mayai katika friji ila yawekwe katika sehemu iliyopoa yaani ambayo haina joto kali wala baridi lililozidi. Ni muhimu kukagua yai kabla ya kulitumia hasa likiwa bichi; lakini sio tu kukagua mayai lakini kutumia mayai ya kienyeji kwani ndiyo yenye lishe zaidi.

Usile yai:-
lililopata ufa
lililotoboka
lenye harufu kali ama kidogo
lisilo na harufu kabisa ya yai
lililojepesi yaani halizami kwenye maji mfano kwenye bakuli
 

Chura wa Liwale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…