Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

1. Karudi baba mmoja,
toka safari ya mbali,
Kavimba yote mapaja,
na kutetemeka mwili,
Watoto wake wakaja,
ili kumtaka hali,
Wakataka na kauli iwafae maishani.

2. Akatamka mgonjwa,
ninaumwa kwelikweli,
Hata kama nikichanjwa,
haitoki homa kali,
Roho naona yachinjwa,
kifo kimenikabili,
Semeni niseme nini,
kiwafae maishani.
 
Umeshaziona picha tata na video za Sanchoka? Yupo anachezewa na vijana wa Nigeria. Andjul akiziona hizi aisee ataweza hata kuzimia. Lisichana lizuri kwa kweli ila sasa sema tu ndo hivyo tena [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tupia tuzione kama zina maadili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…