mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
HahahahahaSi ajabu tayari watu wanafakamia viazi na maganda yake...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sabini na saba
Maana wabongo wasiambiwe kitu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Si ajabu tayari watu wanafakamia viazi na maganda yake...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
JamaniMaana wabongo wasiambiwe kitu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Asante sana mkuu. Nikitia mguu Mbagala tutakuja tupange tupate angalau supu ya pweze. Eid njema !!!
Sasa Tisa yote
HahahahaSasa Tisa yote
Pilau makinikia hili hatari utatafuta Nyama sufuria zima na usione
Madoro unajua maana yakeHizi likes baada ya kuzipaata zitageuka vocha [emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
Sent using Jamii Forums mobile app
Anything for moneyPhobia phobia phobiaaaaaa ...
Sijambo kabisa mkuu...
Najaribu kuweka kwenye uhalisia jinsi wimbo huu tulivyokuwa tunaimba1. Karudi baba mmoja,
toka safari ya mbali,
Kavimba yote mapaja,
na kutetemeka mwili,
Watoto wake wakaja,
ili kumtaka hali,
Wakataka na kauli iwafae maishani.
2. Akatamka mgonjwa,
ninaumwa kwelikweli,
Hata kama nikichanjwa,
haitoki homa kali,
Roho naona yachinjwa,
kifo kimenikabili,
Semeni niseme nini,
kiwafae maishani.