umeongea kiufundi kwel kwelAnatest mitambo[emoji41] [emoji41]
[emoji3] [emoji3] [emoji3]*Kweli nimeamini Nabii hakubaliki kwao, haya Mambo ya kufuta uchaguzi alivyoyafanya JECHA hakuna mtu aliyemsifu, sasa Kenya wamefuta uchaguzi, kila mtu Povu linamtoka Eti Kenya wameendelea kidemokrasia, wakati wamekopi mambo ya Jecha*
itabidi nitume fbi yangu huko[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Amna nilikuwa namkumbusha bro hapo kwamba AKILI NI BORA KULIKO MISAMBWANDA Hilo TuNa wewe una vutiwa na haya? Akili ni bora kulik....? Endelea kufaidi akili zako.Siku zikiamka ndipo ...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Piece of lie. NASA is notorious for rumormongering. Beware you will hear plenty of garbage before and after presidential rerunHata mfumo wao wa kumpata jaji mkuu ni mzuri sana
Sisi tunakaimu jaji mkuu mwezi wa tisa sasa kwenye katiba hakuna kitu kaimu jaji mkuu
Tuwekee link tuoneAna wivu tu na stress apite mbaliii nasi
sent from iphone 7 using Jamii forum mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]hahhahaha
mikwara hii
bob mikwara