Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Yap yap
 
WINGI WA MAMBA WA SELOUS GAME RESERVE Kama nilivyotangulia kusema hapo juu, kuwa eneo hilo limepakana na pori la akiba la Selous, Pia eneo hilo limepokea maji ya mito mikubwa zaidi ya 6 ambayo imeingia ndani ya mto Ruvu. mito hiyo ni Mgeta, Duthumi, Dakawa, Mngazi na Mvuha. Mito hiyo imeingia ndani ya pori la Selous. Mbuga hiyo kubwa kuliko zote barani Afrika. Na ndiyo mbuga yenye mamba wengi kuliko zote Afrika. Na ni ya pili kwa kuwa na mamba wengi Duniani baada ya AMAZON

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…