Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahaaa, umenikumbusha Betina! Yaani siku hizi heart attack na stroke hazichagui miili ya watu, very strange! Nenda gym bana, hiyo ya kwenye six by six zoezi linakuwa ni kwa baadhi tu ya viungo, siyo mwili mzima! [emoji3][emoji3]
Lakini wanasema six kwa six goli moja ni mchakamchaka km 40
Naona six kwa six bonge la zoezi[emoji41]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…