Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Daktari na pia mpishi hodari, kama nyumbani siyo mvivu wanaoishi nawe wanafaidi uwepo wako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MKATE WA MAYAI RECIPES Mayai manne Sukari kikombe lakini hakijajaa Hiliki kijiko cha Chai 1 Unga kikombe kimoja NJIA saga Sukari na mayai na hiliki mpaka uvimbe tia unga kisha saga kama 10 min mimina ktk tray Tia zabibu juu choma -
Natamani nije nikae kwako angalau kwa wiki moja nitoe shavu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…