Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Jecha s jecha

Sent using Jamii Forums mobile app
Jecha anaongozwa na katiba ya ujanja ujanja ya Zanzibar. Kenya pia walikuwa na katiba ya kijanja, lakini kilochowakuta ni historia iliyowapeleka kupata katibu Bora. Mkiwa na katiba makini kila mmoja anakuwa makini kwenye eneo lake. Gonga likes, post tukumwagie likes. Siasa tupa kuleeeee>>>

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo unayoiita Katiba Makini haiwezi kupatikana ikiwa watu ambao wanatakiwa waanzishe huo mchakato wana wasiwasi inaweza ikawaondoa. Ni sawa na wewe uanzishe movement ambayo unajua mwoshowe inaweza "ikala kwako"
 
Uzi wa kijanja, gonga likes mwanakwetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo unayoiita Katiba Makini haiwezi kupatikana ikiwa watu ambao wanatakiwa waanzishe huo mchakato wana wasiwasi inaweza ikawaondoa. Ni sawa na wewe uanzishe movement ambayo unajua mwoshowe inaweza "ikala kwako"
Hata Kenya ilikuwa hivyo, lakini kitendo cha viongozi wale kufikishwa kwenye mahakama ya uhalifu wa kivita The Hague, kwa kosa la kuhimiza mapigano ya kikabila, kulipelekea kupatikana kwa katiba ya mfano kwenye eneo letu hili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…