Just funny brother nothing newSawa. Sasa kuna umuhimu gani wa kutumia hizi namba badala ya herufi za kawaida?
Mzee wa Tukuyu upo hapo
Kwema mkuuMzee wa liver kwema?
[emoji106] [emoji106]Kwema mkuu
HahahahahaWatu wa conspiracy bwana [emoji23][emoji23][emoji23]
DahJamani eeh!mnaotuma picha tumeni zenye staha basi kuna mtu katuma picha mdada hana nguo huko,tujaribuni kuwa wastaarabu basi
Nenda magogoniMwenye updates za makinikia jomon
Good morningGood morning worldView attachment 581165
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Info zipo kwa walinzi pale Magogoni. Wanamgawia kila anayeziomba [emoji23][emoji23][emoji23]
Kama unataka kufanya biashara hii, chagua watoto wa aina gani unataka kufundisha, kisha angalia katika watu unaowafahamu ni wangapi wenye watoto wanaoweza kufaidi huduma zako. Tafuta wachache wa kuanza nao hata kwa gharama za chini, fanya nao kazi vizuri na kama watafurahia waombe wazazi wao wakutambulishe kwa marafiki zao ambao wanaweza kufaidika na huduma unayotoa.
HahahahahaNmenyamba na nilikwa nmekalia simu,emoji zote zikatema mate[emoji23][emoji23][emoji23][emoji31][emoji31]
Mhhh*NJIA 4 ZA KUFIKISHA HABARI HARAKA*
1. SIMU
2. REDIO
3. TV
4. MWANAMKE
- Hiyo namba 4 ukitaka ifike haraka zaidi mwambie nimekwambia wewe usimwambie mtu mwingine
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41]Mhhhhhh! ππππ
Yapafya na furaha
Good morningGood Morning wapendwa
Du[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Muhimupilika pilika zinaendelea baada ya mapumziko ya weekend
Kipanya