Huna mume hapo, unang'ang'ania mateso bila sababuEti umesemaje???? Jtano niko na ww. Ntakuganda km rubi, umeanza kuvizia zizi la mzee wa liver eeeh?
AMUN RALeo ni Tuesday iliyo njema, kila mtu ameianza vile Mungu imfaavyo, kuna wenye afya njema(tuseme ahsante Mungu) lakini wapo wagonjwa na wengine ni wenzetu humu humu, tuwaombee wakapate kutibika magonjwa yao. Mungu akatende juu yao, tuombeane maana tumekuwa familia moja. Amen [emoji120] [emoji120]
Kaka sio kwa uwazi huo, utauwa watu kwa BP
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Kicheko cha kichaga yaani Mkuu nakuwa fresh kabisa I'm love my Queen