Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Jinsi ya kupika
- tia sufuria yako kwenye moto, weka mafuta kidogo... kuna watu wanadhani kupika vizuri ni kujaza mafuta
weka kidogo ya kukaangia vitunguu...binafsi sipendi chakula chenye mafuta mengi

- weka vitunguu vyako sasa...geuza geuza usisubiri vikabadilika saana
- weka karoti zako....inapendeza ukikata ndefu ndefu
- geuza geuza hapo kisha tia nyanya kisha hoho
- weka kitunguu swaumu.... tuelewane kwanza kitunguu swaumu mimi huwa natia baada ya kuweka nyanya maana sipendi viungue kwenye mafuta nakosa ile ladha yake na harufu yake tulivu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…