Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mungu awalinde dhidi ya hiko kimbunga kwakwel ila kama yawezekana kwenda kukaa mbali na eneo hilo kwa kipindi hiki ingekuwa vizuri sana
Huyo mkoromije ni mbishi hatari. Hachelewi kusema alilipia apartment mpaka December na anataka mpaka kashilingi ka mwisho kaishe ngwaaa!!!! [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…