Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

CHAWAMISAMBWA
 
Mkuu utakuwa umeukumbuka ujana ule wa fungulia mbwa au kuruka ukuta kupitia jeshini. Saa zingine unajilipua na sh.20 unaruka ukuta gori la kaskazini na karandinga lipo pembeni.... Moudgulf anauzoefu sana na hayo mazingira
Daa umenikumbusha mbali saana. Kuna yule polisi atapita na mbwa upande wa kusini, kisha wote mnakaa ng'ambo ya Mandela road, akiondoka tu mnafyatuka mbio mpaka kwenye ukuta, mpaka juu kisha ndani[emoji3] [emoji3] [emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli ameonyesha uungwana lakini dah bado Nina dukuduku Sana jina alilomwita my Queen sikulipenda kwa kweli
Samehe sabini mara sabini....

Queen wako hata mimi likes zake kwa sasa hazisomi. Si ajabu kuna mahala sijui nimekorofisha tena. Ila mimi tumetoka mbali na nikitupiwa kwenye ignore list najua jinsi ya kujinasua [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…