mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
No nilikuwa mchezaji wa ndani beki 4Mkuu kumbe ulipitia mafunzo ya golikipa huyu ambaye sasa ni marehemu. RIP Tarzan Kessy
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kila jambo na wakati wake hali si haliHaitakuwa tabu sana wala nini. Maisha yataendelea tu kama kawaida. Tumuombee tu apone ndicho cha muhimu kwa sasa. Mengine yatajipambanua baadaye [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Kabisa mkuukila jambo na wakati..
Aiseeh!nasikia anapelekwa nairobi?My princess Niko hapa hospital kuu ya mkoa hali ni tete sana
Subiri kwanza emotions zipungue. Kuna mambo ya hatari sana tayari yanasemwa. Kwa sasa tuelekeze nguvu zote katika kumuombea Lissu apone. Mungu Aguse mikono ya madaktari wanaomshughulikia. Mengine yatajulikana baadaye. Tujizuie sana kufanya speculations wala finger pointing kwa sasa. Mungu Amsaidie..Mkuu Niko frustrated sana lakini wacha tupate likes tujifariji siamaini Tanzania tumefikia hapo
Habari ya lissu kupigwa risasi imeua news zote
Yap kuna umuhimu wa kuokoa maisha ya huyu mpiganaji sisi tuliopo kwenye scene tunaona kinachotokeaAiseeh!nasikia anapelekwa nairobi?
Mkuu hilo ndilo jambo la muhimu lakini naongea kwa uwazi na ukweli akifa huyu jamaa nothing I can tellSubiri kwanza emotions zipungue. Kuna mambo ya hatari sana tayari yanasemwa. Kwa sasa tuelekeze nguvu zote katika kumuombea Lissu apone. Mungu Aguse mikono ya madaktari wanaomshughulikia. Mengine yatajulikana baadaye. Tujizuie sana kufanya speculations wala finger pointing kwa sasa. Mungu Amsaidie..
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Mkuu hilo ndilo jambo la muhimu lakini naongea kwa uwazi na ukweli akifa huyu jamaa nothing I can tell
ItawaleAMANI