Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Kwa jina la Mungu Mkuu Muweza wa yote Taifa la Tanzania liko/litakuwa salama [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
HahahahaNani yupo tayari tuanzishe kanisa?
Nimecheka hadi kusikia raha. Uzuri wa huu uzi hakuna kubaguliwa na wote.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Usimchokoze Mzee Rutta. Anaweza kuzimwaga namba hata page 6 non stop utafikiri yeye hana ile "You must wait for at least 3 seconds before posting". Watu wataziruka kuzipa likes lakini baada ya masaa mawili matatu unazikuta zote zimeshiba likes za kutosha. Sijawahi kuona popote mtandaoni uzi wenye raha kama huu. Hongera Jembekillo popote ulipo !!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kivumbi walahiNani yupo tayari tuanzishe kanisa?
Mie sina imani hata na hao madaktari.Aisee lissu anapendwa sana wabunge wengi wa ccm na upinzani wako hapa Generally hospital Indeed naona wanalia wote hapa so sad
AMUN RAKwa jina la Mungu Mkuu Muweza wa yote Taifa la Tanzania liko/litakuwa salama [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Kazi kweli kweliMie sina imani hata na hao madaktari.
Hahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Usimchokoze Mzee Rutta. Anaweza kuzimwaga namba hata page 6 non stop utafikiri yeye hana ile "You must wait for at least 3 seconds before posting". Watu wataziruka kuzipa likes lakini baada ya masaa mawili matatu unazikuta zote zimeshiba likes za kutosha. Sijawahi kuona popote mtandaoni uzi wenye raha kama huu. Hongera Jembekillo popote ulipo !!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Asante mkuu. Hilo ndilo lilikuwa lengo kuu la comment yangu. Tuko pamoja mpaka kieleweke. Sema tu namba hazina kikomo na hizi likes sijui mtu ni mpaka ufikishe ngapi ndipo uridhike [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimecheka hadi kusikia raha. Uzuri wa huu uzi hakuna kubaguliwa na wote.
Jirani
Hahahaha kaka kwhy unaniuza? Unataka kunivunjia ndoa yangu kwa mzee wa tukuyu.Na wewe mkuu unapenda ubuyu?
Halafu ishu ya kumuoa Nsamaka iliishia wapi? Tunawataka hao kuku ujue [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]