Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kumbe hadi cheaman alienda kule?
Huyo jamaa alituma picha mbili tena ni tofauti watu wakashtuka mapema akaanza kutoa povu
Ila bado sijajua lengo hasa la watu kama hawa ni nini,sijui ni zile tabia za ki kameruni au kuna kingine
Uelevu wa kazi hizi umepungua sana. A level tumekaa na mtu mwaka mmoja na miezi nane bila hofu nae,karibu tunaelekea kwenye final exams alikutwa bweni la wanawake wanakunywa pombe, kwenda kumpekuwa akakutwa na.... Wakaitwa wenye nae kumchukua na siri ikafichuka
 
Eeeh![emoji15][emoji15][emoji15]nyie nyie [emoji134][emoji134][emoji134]
Ila alichosema syb na andaeitini inaweza kuwa kuna ka ukweli either wanakazi wanafanya ama wanashida ya kisaikolojia,maana kwa akili za kawaida mmh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…