poa! lakini usitanie kifo mdauJamaani Mondray hajafariki bali ka Change jina to Gentries ndio maana maswali ya kuhusu kufariki kwake sijayajibu..
Samahan kwa usumbufu.
Sasa naweza tumia mtandao vzr zaidi..
hahahaahah... kazi kaziNi kweli. Imekuwa kawaida sasa kukuta post hazina likes au zina like moja. Nakumbuka wakati ule mimi na wewe pamoja na Mzee wa River tulisimama kidete kukumbushia kumbushia mara kwa mara kuhusu hili. Itabidi tuanze tena otherwise uzi huu utafikia kikomo.
Na wageni wanaopita pita huku wakaribishwe kwa bashasha lakini pia wakumbushwe kutimiza wajibu wao
Kule Makapuku mods weshafanya yao. Salaam ile ile moja inaonekana ni Mondray lakini ukibonyeza hapo comment hiyo hiyo inageuka na kusomeka imepostiwa na Gentries...Hahaaa bro Sorry..
sawa mkuu..Ni kweli. Imekuwa kawaida sasa kukuta post hazina likes au zina like moja. Nakumbuka wakati ule mimi na wewe pamoja na Mzee wa River tulisimama kidete kukumbushia kumbushia mara kwa mara kuhusu hili. Itabidi tuanze tena otherwise uzi huu utafikia kikomo.
Na wageni wanaopita pita huku wakaribishwe kwa bashasha lakini pia wakumbushwe kutimiza wajibu wao
Si ajabu mshua hapo kautandika kweli ohooo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kule Makapuku mods weshafanya yao. Salaam ile ile moja inaonekana ni Mondray lakini ukibonyeza hapo comment hiyo hiyo inageuka na kusomeka imepostiwa na Gentries...
Hata kama unatafuta kiki mkuu siyo vizuri kujisingizia kifo. Maneno huumba na unaweza kujikuta unakufa kweli. Kama una msongo wa mawazo tafuta mtu uongee naye. Mungu Akusaidie !!!