mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] my princess napenda uwepo wako hapaUmeamua kuoa al shabab[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23](nakutania tu)
Niletee zawadi ya mabomu kuna mtu nataka nimlipue[emoji23][emoji23][emoji23]
hahahahahahaChangamoto ni nyingi huku ndugu yangu.
sharti ni mojaHahahah haya elewana na kaka shimba ili utoe mahari
[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]kulikoni tena hapa??hahahahahaha
hivi carba umempa nini weyeπππ
[emoji23][emoji23][emoji23]habari ya leo mzee wa 5g ooopppsss sorry mzee wa liver[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] my princess napenda uwepo wako hapa
Mmhh halafu wajiita mke wa mtu khaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahah haya elewana na kaka shimba ili utoe mahari
Al shabaab[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ni msomali pure
duh[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]kulikoni tena hapa??
Kwani nimeachika lini? Au hiyo talaka we ndio uliandika?Mmhh halafu wajiita mke wa mtu khaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wakekila jambo na wakati
HahahahahaHapana usibadilishe.
Nipo mahakama ya maparachichi na mboga mboga hapa Mbezi mwisho.
Baada ya kuona limbaula langu haliendi, nilipo fika Kitonga niling'oa breki, hauwezi amini,spidi nilioporomokea pale ndio niliyo fika nayo Mbezi.
Nilichofanya ni kuitafuta nyumba yenye alama ya X,nimeigonga ndio kusimama kwangu.
Tobaaaaa[emoji134][emoji134][emoji134]Hahahah we nae kwhy unaanza kunizungusha sasa. Fika bei unichukue
Mbona sijampa kitu. msela wangu tu usela mwingi.hahahahahaha
hivi carba umempa nini weyeπππ
Mimi natabasamu asbh na mapema tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]jumatatu watu hawatabasam mpaka saa tano..
Na watu ni shughulishughuli ni watu
Mmhh halafu wajiita mke wa mtu khaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
hapa patamu sasaKwani nimeachika lini? Au hiyo talaka we ndio uliandika?
Jamani jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bob ninunue
mimi kuhusu bei sio tatizoπ
niko tayari kutoa hao ng'ombe 30 na bonasi juuπ
hahahahahaMbona sijampa kitu. msela wangu tu usela mwingi.
Hahahahaha mlonge tenaKama wala tende basi mwambie akutengenezee juice yake usahau mlonge[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]mlonge una muda wake shekhπ
muda wa tangawizi na kahawa palee unamix na mlonge kwa mbaaaaaaaliiiiiii