carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Ila naona manyanyaso kwako bado yanaendelea[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jakitoo alibembeleza asamehewe bila mafanikio, akaamua aokoke tu, ni kwaya kwa kwenda mbele... Usingizi ukamkatika katiiii[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Bob katunyanyasa sana
Yule nilimshukia siku ya kwanza kabisa.Kumbe[emoji23][emoji23][emoji23]ila alijua kuwachezea akili alikuwa kama yule paulina
Eti kipupweHakuna. Mondray na Gentries ni mtu yule yule mmoja. Tayari mods wameshaonyesha kuwa ni mtu yule yule. Sasa sijui anajisingizia kufa yeye mwenyewe ili iweje. JF hii yaani ni full kipupwe....
Shemeji, unajua unaniumiza sana kifikra ukisema hivyo !!!Nimewaacha na familia yenu ya mwendo kasi[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji22] [emoji22] [emoji22]Kweli hii kesi niwaachie wenyewe mmalizane[emoji23][emoji23][emoji23]
Ila acha nikae pembeni nikisanye ubuyu
Wewe kweli ni KK sukari[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nia yangu ameijua naona anaingia king.
Hata angekuwa sisimizi unadhanj angefanyaje[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hata azungumzii kuwa yupo engaged
Kwani me nimesema umeachwa[emoji23][emoji23][emoji23]Na mm umeona wapi nimesema nimeachwa?
Mods hawachelewi siku hiziUkipata nami usinisahau. Mods siku hizi wako macho. Yaani ubuyu hata haujakolea tayari weshaubumburusha...na ban juu. Kha !!!
Huyu singo faza ni shida. Mpaka leo mi na Jakitoo hatuko sawa kivile yaani...jakitoo alibembeleza asamehewe bila mafanikio, akaamua aokoke tu, ni kwaya kwa kwenda mbele... Usingizi ukamkatika katiiii[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Bob katunyanyasa sana
Kapo. Halafu kamepigwa bei na mumewe. Kwenu kuna ng'ombe?
Shikamoo KK sukari yao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]carbamazepine hujambo?
[emoji468] [emoji468] [emoji468] [emoji468]
Umeanza mambo yako kunisifia wehu wangu[emoji23] [emoji23] [emoji23]Wewe kweli ni KK sukari[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Poa mkuu
Halafu si kwakujishaua kule lol[emoji23][emoji23]Yule nilimshukia siku ya kwanza kabisa.
Niliona mwandiko mgumu kama sarafu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
NakumissEti kipupwe
CantstopwontStop
HahahahahaJamani baada ya kupata taarifa za kuwekwa sokoni bila kujijua nilipata mshtuko wa mawazo ndio maana nikawa nimeadimika kidogo.