Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Aisee, nilikuwa sijui kama usingo faza ni bonge la ujiko. Nami itabidi nianzishe sredi kabisa nijiite singo faza aka Baba Ashura. Si kwa kugombaniwa huku [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tena unajifanya wewe ni victim na umeachiwa mtoto wa miezi 6,hii fursa lazima ichangamkiwe na vile tuna huruma toka moyoni[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wacha kabisa,utasikia naja kufua nguo za mtoto[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…