akimaliza kuweka majani laini anarudi tena kuchukua miiba anakuja anaiweka juu ya kiota ili kuzuia maadui, na mwisho akimaliza hayo yote ana nyonyoa baadhi ya manyoya yake ili kuweka sehemu ya mayai yatakapokuwa iwe laini.
Tai jike akisha taga mayai; wanasaidiana na tai dume kuyaatamia kwa zamu, pia kazi ya ulinzi huifanya wote kwa kushirikiana. Vifaranga wakishatotolewa; tai dume na tai jike hushirikiana kuwalea. Baada ya muda kidogo tai jike ataanza kuwatoa vifaranga na kuwaweka kwenye miiba pembeni kidogo ya kiota, halafu vifaranga hurudi ndani ya kiota, atafanya hilo zoezi mara kadhaa baadae
aminNi kweli mkuu. Bila likinu hilo kubwa la nyuklia hakuna uhai. Mungu Atubariki sote kwa siku ya leo!

atayaondoa manyoya kwenye kiota. Wale watoto wakirudi kwenye kiota watakutana na miiba itawachomachoma na kuvuja damu. Kisha tai jike atawarusha chini wale vifanga; kabla hawajadondoka tai dume atawadaka ataendelea na zoezi hilo mpaka watoto wafahamu kuruka.
Tunajifunza nini? Pale tai wanapoandaa kiota wanatufundisha kujiandaa kwa ajili ya mabadiliko. Lakini ushiriki wa mke na mume ni muhimu sana ili kujenga familia yenye mafanikio.