DuhNina jamaa yangu ameshatoa mahali ili aoe lakini wazazi wake hawataki kabisa afu wazazi ni walokole ananiambia nimshauri lakini Sina cha kumwambia.
CantstopwontStop
Chui mkubwa alimuua twiga huyo kisha akampandisha mita kadha juu ya mti. Alisherehekea chakula hicho kwa siku chache na kuacha tu mifupa, ngozi na nyama nyama zikiwa zimetapakaa.
Twiga huyo alikuwa na uzito wa kila 300 karibu na uzito mara tano zaidi ya Chui.
Bob kiafrika unaweza kuoa wakati wazazi wako hawajabariki /hawataki????Duh
kama kashatoa mahali hapo itabidi achukue mzigo wake shekh
asante kwa kunisaidia mzee wa liverNot al shabaab
Ni msomali wa Somali land
ninavyoelewa mpaka unatoa mahari wazazi washatoa baraka,sasa wakati anatoa mahari hakushirikisha wazazi?Bob kiafrika unaweza kuoa wakati wazazi wako hawajabariki /hawataki????
CantstopwontStop
Walitambulishwa, waliona mahali ikitolewa, wifi mtarajiwa anadai mchumba wa kaka yake ni prostit eti Ana rafiki yake anamjua kuwa afai.Inamana huyo jamaa hakuwashirikisha wazazi wake tangu enzi za uchumba?au hawakuwahi kumuona huyo mkwe myarajiwa?
Na kwanini wazazi hawataki jamaa aoe?
Alishirikisha na walijua anaenda toa mahari, pia Dada alikuwepo kama muwakilishininavyoelewa mpaka unatoa mahari wazazi washatoa baraka,sasa wakati anatoa mahari hakushirikisha wazazi?