Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Zile tuhuma ni kweli kabisa yale yalikuwa ni makubaliano na wachezaji wenzangu ila kiwango kipo pale pale.


Vipi ile miaka ya 90's ulivyokuwa unatafuta team ya kucheza kila ukipita waliona miguu yako yote ni ya kushoto imeelekea upande m1 na imekonda kama umesimamia mikono kumbe miguu, ulifanikiwa kweli maana tulipotezana mzee mwenzangu?
 
Na kupika maandazi je?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ukuje kunipikia bhana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…