The power of I am....
Me uje kunipikia maandazi tu[emoji23][emoji23][emoji23]Alitoa mawazo ya kuanzisha kibanda cha maandazi kwa pamoja tukapeana zamu kupika kwa week nikaanza vyema kabisa na wateja walikuja wa kila aina.
Week iliyofuata ilikuwa zamu ya huyu mchina alibadili kile kibanda na kuleta mitambo ya kutengeneza gongo wateja wangu wote akawanywesha gongo ila migambo wakipita anakuwa ameacha jiko nje na andazi moja kama ndio muuza maandazi sijajua mpaka sasa bado anaendelea na gongo
[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]Tshirt kuntu...
napo umepost chochote...Naomba huu Uzi ufutwe
Pole sana bageshi. Sali...Niko naumwa umwa kidogo, mwaka juzi nilipata ajali sasa naona tangu wiki iliyopita viungo vyangu vimegoma kbs hasa miguu. Sina rah ndio maana sionekani sana humu.
Futika mwenyewe!Naomba huu Uzi ufutwe
Hahahahahahahah! Ah yaani wewe.... [emoji16][emoji16] im fine dear! Mzima! tunapumzika baada ya....Hivi ile safari ya kuzamia SA ilifanikiwa eeh[emoji23][emoji23][emoji23]
Ha wayuu babe S
Student hajambo?
Japo bando una ngeo na mwili kubaki kama screpa ila bado unatumia.Gongo Hakuna habari ya vodka, Vladimir, beffeter, jack daniel, red labe nk.
Ile ndo pombe ya mwanaume wa kweli,
Pia ukitaka six pack hapo ndo penyewe mkuu.
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Hebu rudi... Kwamba?carbamazepine! [emoji124][emoji124][emoji124]