mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Hahahahaha wanakula mapera tuSidhani kama wapo Sauzi hawa. Mbona sioni swaga? Wapo Upareni hawa....
Hahahahaha wanakula mapera tuSidhani kama wapo Sauzi hawa. Mbona sioni swaga? Wapo Upareni hawa....
Visa vya baba ubaya kabisaMnavisa nyie[emoji23][emoji23][emoji23]
HahahahahaNaomba kesho uniambie ilikuwaje ukapata ngeo kubwa kiasi hicho karibu na jicho la kushoto?
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Malizia mkuuKwa hisani ya....?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
HahahahahaBaada ya trip ya kwanza kufanikiwa ikakupa tenda ya kunitafutia lori kumbe mzee ukatafuta lori la bei ndogo wakati ulichukua pesa ndefu ya kutafuta lori hilo
Pole potiNaona leo napigwa mashambulizi ya anga, nchi kavu na baharini! It's all good guys, we're having funny inhere! [emoji23][emoji23]
Nitakuwa mwenyekitiSi aanzishe tu chama chake?
CHAWAVITA - Chama cha Wapenda Vimbaumbau Tanzania. Nitamsaidia usajili and everything [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kichwa naona mwaka unaelekea kukatika ikiwa hujakamatwa ugoni,
Utakuwa mwaka wa ajabu sana ķuumaliza bila kufumaniwa.
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
HahahaSawa mkuu ndio tupo kwenye process
Morning Carba. Nakusoma tuuMitihani[emoji23][emoji23][emoji23]
Hongereni aiseeh
Ila wachoyo nyie hata mualiko za graduu hamkutoa[emoji23][emoji23][emoji23]
Msalimie uniq
MhhSidhani kama ni mitihani.
Yaweza kuwa wedding...
Au fungate....
My princess unaendeleajeUongo
Hahhahahhaha Carba wewe ndie mbaya wangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jamani et memkwa
Shemeji watu wabaya sana etu memkwa????Subiri Mpare akija [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] no commentsYaani huoni kabisa Andaeitini anavyokujia shemeji? Unafikiri usingekuwa shemeji yangu ningekuwa nahangaika hivi?
Mdogo wangu aliteseka mno kwa Goddess na kamwe sitaki arudie hali hiyo. Si ulikuwepo lakini wakati ule akishusha paraboz non stop? That was just brutal !!!
Pole my princessNilipata matibabu vzr tu maana nilikaa hosp miezi 6 na klinik nimeacha mwezi February mwaka huu baada daktari kujiridhisha kuwa niko poa.
Niko na mpango wa kurudi tena bugando nilipokuwa natibiwa.
HahahahahaTatizo ulifanya mapinduzi na biashara yako ile uliobobea.
Ufundi huo wa biashara ya huyu mchina aliupata akiwa na miaka 9 miaka ya 50 huko ila utaalam bado upo.
Ameanza kuzoeana na wagambo wote kumbe ndio wateja wake hivyo imekuwa kazi kumdhibiti
Roli Scania kwa shilingi milioni 3 hata kama ungekuwa wewe ungepata la aina gani?Hahahahaha
Mchina ameanza utapeli tena
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Siku ambayo nilikwenda kuangalia mzee mwenzangu week hii amefanikisha bidhaa ya maandazi.
Alitumia walevi wenzie wa kinywaji kile kunishambulia kwa vyupa.
Mzee alikuwa mjanja sana anatafuta chupa za dawa za kifuo za watoto na kujaza bidhaa ile