Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tuanze upya sasa. Unanijua. Nakujua. Nobody can stop this reggae now baby. Nisamehe kama nilikukosea. Let's go [emoji9][emoji9][emoji9][emoji9][emoji9][emoji9][emoji9]
Yes honey ...... Katika Mungu tutayashinda yote[emoji120] [emoji120] [emoji120]
[emoji182] [emoji182] [emoji182] [emoji182] [emoji182] [emoji182]
 
Yaani huyo uliye mtaja ni sumu kali sana kwetu wenye umiliki humu.

Tuna team up sasa, sijui mtatokea wapi. Nasema hivi, tunahitaji viwanja vipya vya mazizi humu! Halafu kuna tetesi kwamba zizi lako ni maridadi kwelikweli, hiyo haitasaidia lisivunjwe. Liko nje ya ramani ya jiji! [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…