mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Lete mambo Mkuu"Mwenye mapenzi haoni ingawa macho aanayo" Bitchuka & DDC Mlimani Parks
Taratibu mkuu nimeshambiaWee mzee jiangalie sana
Mkuu salamu tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hicho cha sugu hata sijui kinasuguaje??? Ipo siku yake...
Nani mkerewe sijui[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Peleka hela achana na maua Mwanawane !!!
Maubuyu hayawezi kosekana jf kwakweliKule kwenye ubuyu maubuyu si yatakuwepo?
Ile intavyuu ya malkia wa methali na misemo iliishaje? Nilifuatilia mpaka usingizi ukanishika [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
MakinikiaFukua tu shemeji usiogope. Makaburi mengine yana vito ndanimwe.
Yaani hawa city sijuiMtu kapigwa sita utafikiri netiboli duh !!!
Ushawahi ona mtu analia bila sababu?Lia bhasi.