Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
Unaniachaje dogo.Mkawe na usiku mwema nyote ambao mwaenda kulala
Wale wanaoenda mihangaikoni mkawe na siku njema
Mungu awabariki
Tuonane kesho panapomajaaliwa
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Lia bhasi.
Piga mistari ya nguvu Mkuu maana naona [emoji113] [emoji113]Jakitoo baby. Naomba penzi letu lirudi kama zamani. Please usiache mbachao wako maridadi kwa vimisala hivi vipitavyo bila mwelekeo wo wote. Nakuomba sana [emoji11][emoji11][emoji11][emoji11][emoji11][emoji11][emoji11]
Kama hivi[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]Unaniachaje dogo.
Wakerewe ni wabahili sana au unamaanisha nini? Ni wabahili kuzidi Wapare? (Uniq samahani)Nani mkerewe sijui[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Jakitoo hujamboJamani acheni kumfanyia hivyo carba[emoji20] sio kweli
Nitawapa dawa yakeDogo anatuburuza huyu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]