Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Umeniletea hapa kinywaji unajifanya umesahau tena.
Leo nilikuwa na mda wa kuingia na kutoka nisingeweza kufatilia
Leo jamaa kaniudhi sana yani dizain kama hakujipanga
Halafu leo kafanyiwa ambushi kama ile ya hunter mwenzio na miss,balaa tupu huko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ngoja nikalale kwanza
 
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]tena wewe kama vipi lia kabisa na huo msamaha haukuhusu
Kama umekwazika jipige vibao vya uso(in.......voice[emoji23][emoji23])

Kuna mtu amekwazika humu, basi hii thread haimfai! Ila Mimi bado nalia tu na andjul na SHIMBA YA BUYENZE! Yaani, yaani, yaani mpaka kieleweke tu! [emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…