carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Hebu niambie kosa langu ni lipi?Umejiharibia mwenyewe bhana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yaani wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tena ukuje ile mida ya wanga! Tutakuwa wenyewe tu humu leo. Wanga wengine hawako zamu leo. Wengine wameisha yafakamia ma bapa, ni kukoroma kwa kwenda mbele! Patakuwa patamu humu! [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]acha tuUbuyu umeingia kwenye damu ndio shida
Naona mmeanza poteza uelekeo,au sababu ya mane nini?mana nimesikia yuko nje mechi3Moja moja na timu ya mchangani roho inauma Kweli
Wengi tuWakinanani hao[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Muulize mwenyewe[emoji23][emoji23][emoji23]Halafu kila Siku jakitoo usingizi unakata mida hile yego anaingia why
Habari yako nsamakaHahaha nali nsukuma gete, hicho nagongea tu vile nimeishi nao sn wenyeji.
Sijui nitaweza[emoji30][emoji30]Acha umbeya [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
SawaJumapili njema, tutakutana tena baada ya masaa kadhaa! [emoji120]