Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ila si unaona leo mapenzi yamekuwa mapya,yaani ile kama ndo mmeonana kwa mara ya kwanza
Hayo ni matokeo ya ushauri wako wa jana. Ulinishauri nianze kubembeleza badala ya kulalamika tu. Ndicho nilichofanya; na kwa vile malkia wangu ni mwelewa sana tuliamua tuanze upya. Yaani ni Rahatupu kwa kweli. Asante sana shemeji!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…