Walioliweza hili ni mamba na kiboko tuu, lakini hapa anajitokeza jamaa yetu POMBOO, huwezi kufa maji kama jamaa huyu anakuona unatapatapa ni samaki mwokozi kabisa, lakini pia huwezi kuzuliwa na samaki wakali kama papa, POMBOO akakuacha watakurinda kwa hali na mali. Inapotokea umedumbukia majini na akakuona haraka sana hukufikia, kisha atakukumbatia na kwa spidi kubwa atakuwa anakupeleka nchi kavu, atakapofika Jilani atakachokifanya ni kukurusha huko sasa msaada wake huwa unaishia hapo, ukitua kwenye jiwe, mwamba,michongoma, mtini shauri yako yeye kazi yake ashamaliza, pole utapewa na wengine huko. Upo ushahidi pia kuonesha ya kwamba samaki POMBOO ashasaidia watu katika mazira mbambali kama hayo,