Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Iko salama kabisa babe tho hujanijibu kuleee.....Me too baby. Siku yako inaendeleaje? Mungu Aendelee kukubariki....
Kumbe tunalalamika [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Acheni kulalamika. Likes zipo. Leo siku ya kazi sio kila mtu anashinda humu.
Siku hazilingani wakuu.
Zote zimefutwa. Sioni hata moja. Hata zile za zamani. Kweupeee mpaka naogopa kwa sababu mhhhh. Nitakutafuta kwingine kule Kibororoni...Nimeamka vyema....Iko salama kabisa babe tho hujanijibu kuleee.....
Umeamkaje kipenzi?
Mkuu habari za LeoKumbe tunalalamika [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama siku ya kazi mbona posts zipo uzi unatembea lakini likes hakuna. Nyuma huko 4 hrs, 2 hrs, 1 hr mwenyewe umeweka posts kibao lakini hazina likes ...
Tuko watatu hapa. Mimi, Myoya na Mzee wa Liver. Kazi yetu ni kuhamasisha kila tunapoona likes zimeanza kupungua. Na hii kazi hatujaianza leo au jana....
Usitukatishe tamaa bana !!! [emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️