Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Zote zimefutwa. Sioni hata moja. Hata zile za zamani. Kweupeee mpaka naogopa kwa sababu mhhhh. Nitakutafuta kwingine kule Kibororoni...Nimeamka vyema....

Furahika [emoji9][emoji9][emoji9][emoji9][emoji9][emoji9]
[emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji17] dooohhh......

Sawa Baba. Uwe na siku njema babe Mungu akubariki
 
Duuh ntamkimbizaje hapo namfata tu taratibu maana jamaa anaspeed kali sana. Uzi huu kuna saa unapoa kuna saa upo moto nshazpea hali zote
Hata wewe una mbio za hatari, maana kila nikinusa hapa nakuta ushapost, kila mmoja anaye wake wa kumfuata. mi sina mbio lakini level yangu ni wewe, nitakukimbiza mpaka nikukamate[emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Jakitoo baby turudishe hizi avatar ziwe kama zilivyokuwa awali. Si kwa mkanganyiko huu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapana bwana watazoea [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…