Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Rafiki zangu, nimetembea tembea huko, nimekuta kizabi zabina mmoja anaushambulia uzi wetu huu. hata hivyo nimefarijika saana, maana nikakuta wenzangu numbisa, jembekillo na carbamazepine wanapambana naye vilivyo.heshima kwenu
Watu wanatoka na stress zao huko wanaamua kuja kuchukia uzi ambao haumuingizii hata mia
Ujinga tu
Habari rafiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…