kula LIKEJamaaaani....We kaka una roho nzuriiii......Yani unanipa likes kabisa...Waaaaooow......Nnavyotupendaga tulikes sasa...Haya nshacomment
UN kuna ubadhirifu adai TrumpTrump adai UN kuna ubadhirifu
Likes kwa kila postAisee..nipeni malikes basi
Mkuu Leo sawa sio zile numericalsMbona hutupi pia? Pokea yangu
Kazi inaendelea MwaduiMwadui kazi inaendelea
YapTUNAPEANA LIKES KAMA JAMBO LA KWAZA
TUNAPEANA ELIMU KAMA JAMBO LA PILI
TUNAPATA BURUDANI NA KADHALIKA
hata wanaotetea wanajua huwezi kwenda uzi wa mapenzi ukaweka siasa..au mapishi ukaweka mapezi. burudani iwepo na likes ziwepo sana
HahahahahaMpira wa ulaya ni kama unga ukianza huchomoi labda kwa maombi
Hapo sawa MkuuNimeacha namba nimehamia kwenye utashi na busara
[emoji109]Pamoja mkuu
Hivyo ni vyepesiUkiona vinaelea ujue vimeundwa
PopUkiona vimenawiri jua vina mwenyewe
Uji si ugaliUgali siyo uji
Pole sana siasa ndivyo zilivyo huwezi epuka mihemukoEnzi hizo nilikuwa mwana statistics kwenye uzi huu, ila siku hizi nimetekwa na Siasa hadi najeruhiwa na BAN mchana kweupe