Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hapana,penye vibaka palikua mjin katikati kulikua na watoto wengi wa mitaani.saiv hakuna kibaka wala watoto wengi wa mitaan
OK, hapa Dar pale katikai ya jiji Mansfield street, kulikuwa na watoto wa mtaani, dogo dogo centre na wenyewe ilikuwa ukikatiza anga zao wanakupa nakoz. Kwa sasa wako nje ya mji na wamekuwa heshima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…