Akiwa sambamba na Mayaula Mayoni. Mchezaji wa zamani wa Yanga chini ya kocha mkuu Tambwe Leya, ambaye alijukana kama Fred Mayaula wakati huo akisakata soka kabla hajahamia kwenye mziki na kujipatia jina kubwaLokassa ya Mbongo
Huyu jamaa inadaiwa ni "mtoto si rizki"General Defao
Hameni nchi [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️Tuna kiongozi wa ajabu haijapata kutokea in TL voice
Loh! watoto wa sasa wako kama simu..kila siku wanabadilikaNdivyo akuavyo duh kuna sehemu nilipita nikasikia mtoto anamjibu vibaya mzazi wake jaman
2020 siyo mbali. Jipangeni vizuri. Kulalamika na kutukana tu haisaidii cho chote [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ujue anaisikitia Tanzania kutokana na kuongozwa na mtu wa hovyo na dhalimu.
Zama za yule super star wa kihindi aitwaye Amitha Bachchan, wapendanao ilikuwa lazima wakaziangalie picha za malovee ya kihindi hapo Cameo cinema.[emoji3] [emoji3] [emoji3]Zama za Cameo cinema
Yegomasika ni muhenga tu. vitu anavyokumbuka havijaandikwa popote [emoji3] [emoji3] [emoji3]Hahahaa anajisahau halafu anasingizia kasoma kwenye history
Huumiza miguuNgoja ngoja
ImemlawanishaAisifue mvua
sehemu zipoAkili ni nywele
Wakayi ugonjwa upoUsitukane ukunga wakati
Haina malipoNgoma ya watoto
Mtaka cha uvunguni
Hakosi uogaKuku mgeni hakosi
Ana uwezo wa kutambua ujio wako umbali wa mitaa kadhaa toka kwenye territory yake kabla hajakuona, pia ana sifa kuu ya kukuona kabla hujamuona na kubaini kama umekuja kwa Shari au kwa amani. ni nyoka mwenye sens ya hali juu4.Ni nyoka mwenye hasira sana na mwenye uwezo wa kuuma ndani ya sekunde chache pale tu anapo hisi kuna hatari.
5.Koboko weusi wana rangi ya kijivu au wakati mwingine rangi ya kahawia nah ii hutokana na mazingira anayoishi ndio huendana na rangi ya mwili ili kumfanya asionekane kwa urahisi zaidi.
6.Anapo kuwa anakimbia au kupata hasira, nyoka huyu ana uwezo wa kuinua moja ya tatu ( 1/3 ) ya mwili wake. Hii inashangaza sana hasa unapo muangalia unaweza ukasema kuna kitu kina mwinua nyoka huyu ila kumbe ni uwezo wake tu.
Huishia kujikwaaMbio za sakafuni huishia
Aisee ni kweli kabisa wadau wanasema hivyoHuyu jamaa inadaiwa ni "mtoto si rizki"
Linatandika ngumi kaliZimwi likujualo