Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kujipanga hakusaidii lolote wakati uchaguzi si huru na wa haki. Na huyo dhalimu au CCM hawana miliki ya Tanzania hivyo ni haki ya Watanzania kulalamika dhidi ya utawala wa hovyo ambao hata walio ndani ya CCM pia wanalalamika na wengine waliwahi kushika nafasi za juu ndani ya Serikali na CCM. Hivyo wewe huna haki yoyote ya kuzuia malalamiko na matusi ya huyo dhalimu ambaye yeye pia anatumia matusi.

2020 siyo mbali. Jipangeni vizuri. Kulalamika na kutukana tu haisaidii cho chote [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Koboko au mamba. Dume hawezi panda jike mahali penye kelele, so, atafanya kila njia aje akutulize kwa mg'ato wake "bite" kisha akalipande jike lake. ni nyoka hatari sana unapoingia kwenye 18 zake. Wakata miwa kwenye mashamba ya miwa wanauwawa sana na kiumbe huyu
 
Nilikuwa nakuchokoza tu mkuu; na kama nilivyotegemea ushafyatuka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

[emoji117][emoji117][emoji117]Na kama kujipanga hakusaidii cho chote kwa vile uchaguzi si huru na wa haki, suluhisho lake ni nini sasa? Kulalamika tu hivi na kutukana mpaka lini? What next?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…