Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Rais Blais Compare wa Burkina Fasso, aliyemuua rafiki yake kipenzi Thomas Sankara kwa tamaa ya madaraka.
Kielelezo kizuri cha usemi kwamba kwenye siasa hakuna kuaminiana. Jamaa alimuua rafiki yake kipenzi na kumzika kinyama kwenye kifusi kwa kutumia greda la Halmashauri.

Kuja kushtuka majuzi juzi hapa vijana wakaanza kukusanyika alipofukiwa Sankara wao wakitaka maiti yake ifukuliwe na kuzikwa kwa heshima ya kitaifa. Compaore hakujali akapeleka polisi. Moto ukawaka na sekeseke likaenea nchi nzima. Kuja kushtuka hali ni tete ikabidi akimbilie uhamishoni japo alikuwa ameshaapa kuwa ataitawala Burkina hata miaka 100 akitaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…