Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wataishia kuongea tu mkuu!! Na, labda watazidisha vikwazo zaidi kwa Kiduku, au lasivyo watafute suruhu na Nk kwakuanzisha mzungumzo wao US, vinginevyo jamaa hata elewa.
Kiduku kawashika pabaya. Ana uwezo wa kuipiga Seoul na Tokyo. Wataendelea na vikwazo tu na kuchimba mikwara !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…