mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
AMUN RAAMUN RA
Nimemmiss sana kwa kweliNimemiss sana ISIS
[emoji120][emoji120]
Halafu jana sikukuona mida yetu ile
Kwema lakin
KaziUbinadamu ni damu, bila damu ni sanamu
Hahaha dahUshachuja?
Una changamoto zake lakini kuchuja bado
Kamata likes mkuu!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkubwa mwenzio
Inategemea za wapiKila mmoja ana zake
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ujumbe utakuwa ushamfikia laudi endi kilia. Mazizi mengine si ya kuvamia na viua vilivyonyauka na kusingizia eti uandaeitini. Muhenga anayeijua mitaa ya Dar enzi za Nyerere in details ukimbana eti oooh mshua alinisimulia. Mshua alikuwa mtaalamu wa mitaa ya Dar, night clubs, majumba ya sinema, mabasi na vikorokocho vingine visivyo na maana?
Akomeeeeee !!!!!
Nawe piaKwema kabisa! Jana mambo yalikuwa gongana, uwe na siku njema! Naenda kwa bed! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji124][emoji124][emoji124]
HahahahahaUlisalimika?????[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Sijui mzee wa liver kamficha wapiNapendekeza awe ISIS yuko wapi siku hizi
Mi nashukuru mungu, nimeamka salama. Najiandaa kwa ajili ya harakati za kimaisha kwa siku ya leoSalama kabisa
Habari ya wewe
Salama kabisa
Habari ya wewe
Mzee wa Tukuyu ana vimsemo matata sana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Umeanza!!!
Ila ile ya jana ulinichekesha sana.
Ban pale dk mojaLinaongoza kwa kupigisha watu ban !!!
Msela acha tu,jana usingizi ulikuwa wa mgao aiseeh,yaani unakuja unakata[emoji30][emoji30]Hivi nani kaiba usingizi lala huko msela.
Mzima lakini?jirani yako alinipa ujumbe wakoHivi nani kaiba usingizi lala huko msela.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jibu mubasharaSijui labda tuulize kwa mangi
Aisee Nissan Nyupe je?Sijui mzee wa liver kamficha wapi
Ukawe na siku njemaMi nashukuru mungu, nimeamka salama. Najiandaa kwa ajili ya harakati za kimaisha kwa siku ya leo