Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwenye menu za lugha nisozijua huwa naomba tafsiri ili kujua ni msosi upi nachagua ili kuavoid kula visivyostahili kuliwa. Kenge na Mamba pia watu wanakula.

Wanakuwa wamesagwa kwenye blender mkuu. Ni supu nzito ya aina yake tena ikitiwa na broccoli kidogo we acha tu. Tatizo lake ukimaliza kuifaudu ni lazima usinzie [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ahahaaaaahaaa
 
Ahahaaaaahaaa
 
Kabisa mkuu,, us akiri zimewaishia, kwa Kiduku hawakutegemea Kama angefanya makubwa Kama anayoyafanya, halafu tlamp muoga kinyama, mkwara ya maneno tu Hana lolote.
Huwa ni rahisi sana kuwadharau usio wajua, pindi unapomjua mtu unanyonng'onyea ikibidi utampa shikamooo, maana unajua hatari iliyo mbele yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…