Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Hii kali!!! Mbomoa mazizi anaombwa na mbomolewa mazizi kumwokoa mbomolewa mazizi ili mazizi yake yasiendelee kubomolewa na mbomoa mazizi anayemwombea mbomolewa mazizi !!!Kwani salamu ingeishia kwenye "hujambo?" ungepungukiwa? Unapenda kuniongelea ya kunichoma choma sana. Wewe umesema umeokoka, niokoe na mimi kwenye hayo mateso ya kubomolewa mazizi[emoji120] [emoji120] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yaani mambo ni vagalansiHii kali!!! Mbomoa mazizi anaombwa na mbomolewa mazizi kumwokoa mbomolewa mazizi ili mazizi yake yasiendelee kubomolewa na mbomoa mazizi anayemwombea mbomolewa mazizi !!!
Haya. That will be nice !!!Bado aisee! Ntakustua!
Inashangaza sana, maana mbomoa mazizi hajawahi kuwa na huruma asilaniHii kali!!! Mbomoa mazizi anaombwa na mbomolewa mazizi kumwokoa mbomolewa mazizi ili mazizi yake yasiendelee kubomolewa na mbomoa mazizi anayemwombea mbomolewa mazizi !!!
Wee mzee usiniharibie supu yangu, angalia sana [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Umeulizwa wewe? Usijipe hatimiliki puliziii. Sote tunamtaka huyo "konokono" ohoooo !!!
Nikuletee konokono?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unamaanisha anaefanana na konokono? Tunakulagaaaa...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mzee kiona mbali wewe
Konokono yupi Carba? Konokono ambaye ni konokono au konokono "konokono"?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama ni konokono "konokono" tushtuane mkuu [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️
Sikuwa na maana hiyoo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Jamani [emoji134] [emoji134] [emoji134]nimeulizwa mimi kama nipo radhi kumla huyo konokono aniletee....
Ukiona unamshindwa adui bora umchekee tu. Ka Yego ni katata sana, bora niungane nako [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hii kali!!! Mbomoa mazizi anaombwa na mbomolewa mazizi kumwokoa mbomolewa mazizi ili mazizi yake yasiendelee kubomolewa na mbomoa mazizi anayemwombea mbomolewa mazizi !!!