Hahahaaha achana na kono kono,chumvin pabayaYu mini zati, kuhangaika na mipweza, limlonge, mikaranga mibichi, liugali la dona na maharage chukuchuku(msosi wa akina uniq shuleni),mihogo mibichi ni kujitesa tu?
Hebu rudia na ujasiri wa kula "konokono" mama, nataka nianzie huko nimchambueeee.... "konokono" hadi kinyaa kiseme basi nataka tena, then.....
kuna watu hawakomenti wala kutoa likes ila wanausoma huu sana..
DAKTARI NUMBISA UMESAIDIA SANA
LISONGESHE...
Wengi kweliShukran mkuu
Usijali mkuu, ubaya wake ndio furaha ati [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kila mmoja una umuhimu wake ila matunda ndio tiba nzuri zaidi
Hahahaaha achana na kono kono,chumvin pabaya
Hahahahaa aiseee kwenye sura ya pweza umenichekeshaUsijali mkuu, ubaya wake ndio furaha ati [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwa jinsi pweza alivyo na sura mbaya, nani alitarajia kuwa angependwa sana na watu?