20:3114:22
Hahahahaha chumviniKila mmoja una umuhimu wake ila matunda ndio tiba nzuri zaidi
Hahahaaha achana na kono kono,chumvin pabaya
Ni uoga wake tu[emoji23] [emoji23] Shemeji SYB kasema wengine wanabushisha [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Karibuni sana. Kwakuwa nyie hamjuii kunywa supu naomba mje wengi nina mbuzi 6 wa supu siku ya kuchukua mahariKama ni 20 basi hakuna neno. Kweli unampenda dadetu. Mpare kutoa ng'ombe 20 yaani siamini. Kufika Oktoba katikati tegemea ugeni wa heshima. Asante sana shemeji
Vita ya panziFuraha ya kunguru
Kwa kasimchana unakimbia
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Eti kameokoka. Puliiiiiiiiziiiii !!!
Respect sana Numbisa napenda makala zakekuna watu hawakomenti wala kutoa likes ila wanausoma huu sana..
DAKTARI NUMBISA UMESAIDIA SANA
LISONGESHE...
Jamani Uniq anatafutwa humu. Kwa ye yote aliyemuona atoe taarifa kwa Baby S.Uniq.....
Ila ujue wale wadudu wote wa nchi kavu baharini wapo, na wakiwa baharini si wadudu tena huwa samaki tu.[emoji23] [emoji23] Shemeji SYB kasema wengine wanabushisha [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Kwa kila postlikes
20:3414:30
Poa mkuuBaadaye kidogo